VIDEO: KOCHA YANGA ABWAGA MANYANGA IMEELEZWA kuwa kocha wa viungo wa Yanga, Edem Mortotsi amesitisha mkataba wake wa miezi sita wa kuendelea kukinoa kikosi hicho.
Na bado tu mwaka huu haki ya nani, MAMLUKI kwenye game mtatoka taka msitake! Na hii ndo manake!!!
ReplyDeleteMishahara hamlipi sio mamluki
ReplyDeleteUtopolo kwishinei
ReplyDelete