VIDEO: MBATHA AFUNGUKIA KUHUSU KOCHA MPYA, ISHU YA NTIBANZOKIZA PIA
SENZO Mbatha, Mshauri Mkuu wa Yanga kuelekea kwenye masuala ya mabadiliko amesema kuwa mchezo wa mpira ni kama Marathon kuna kupanda na kushuka hivyo bado wanaamini kwamba wanaweza kufanya vizuri kwenye mechi zao. Amezungumzia kuhusu kocha mpya kwa kueleza kuwa ni kocha mwenye uzoefu na wanaamini kwamba kila kitu kitakuwa sawa.
0 COMMENTS:
Post a Comment