April 21, 2021

 


WAWAKILISHI wa Tanzania hatua ya Kombe la Shirikisho, Namungo FC wakiwa hatua ya makundi leo walikuwa na kazi ya kupeperusha bendera ya Tanzania kwa kusaka ushindi mbele ya Raja 

Dakika 90 zikekamilika ubao unasoma Namungo 0-3 Raja Casablanca. 


Mchezo wa kwanza Namungo ikiwa ugenini ubao ulisoma Raja Casablanca 1-0 Namungo 

Relliants Lusajo anatoka anaingia Shiza Kichuya, Sixtus Sabilo Sabilo anaingia Erick Kwizera ni kipindi cha pili.


Mabao ya Raja Casablanca yametupiwa na Iliassa Hadadd dk 9, Dk 14 Fabrice Ngoma na Dk 36 Z.Habti

2 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic