April 5, 2021

BAADA ya Simba kumalizana na AS Vita kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi kete yao ya mwisho ni dhidi ya Al Ahly ambao ni Waarabu wa Misri.

 Mchezo wa kwanza walipokutana Uwanja wa Mkapa, ubao ulisoma Simba 1-0 Al Ahly hivyo mchezo huo kwa timu hizo mbili ambazo zimetinga hatua ya robo fainali unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. 

AS Vita ambayo ilifungwa mabao 4-1 na Simba itamalizana na Al Merrikh iliyotoka kulazimisha sare ya kufungana mabao 2-2 na A l Ahly na hizi mbili hazijatinga hatua ya robo fainali kutoka kundi A, salamu za balozi wa Simba hizi hapa

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic