April 20, 2021

 


FT: Yanga 3-1 Gwambina
Mchezo umekamilika Uwanja wa Mkapa na Yanga kusepa na pointi tatu ambazo zinawafanya wafikishe pointi 57 wakibaki namba moja.
Dakika 90+4 Saido Goal Asisti Sarpong 
Zinaongezwa dakika 4
Dakika ya 90, Carinhos anapiga kona ya 6
Dakika ya 88 Yanga wanapata kona inakwenda kupigwa na Carinhos 
Dakika ya 87, Sarpong anaotea
Dakika ya 81 Yusuph Kagoma kadi ya njano kwa kumchezea faulo Kibwana, Carinhos anapiga faulo haizai matunda 
Dakika ya 82 Yusuph Dunia anaonyeshwa kadi ya njano anatolewa anaingia Salim Juma
.Dakika ya 80 Gwambina wanaotea
Dakika ya 78 Mtui anapiga faulo Sarpong anazuia kwa Mkono anaonyeshwa kadi ya njano 
Dakika ya 77 Kibwana anacheza faulo nje kidogo ya 18
Dakika ya 76 Gwambina wanapeleka mashambulizi Yanga
Dakika ya 75 Carinhos anapiga faulo haileti matunda
Dakika ya 74, Gwambina wanagongeana pasi kwa utulivu mkubwa
Dakika ya 69 Carinhos anapiga faulo inaokolewa inakuwa kona ya tano kwa Yanga inapigwa na Carinhos inaokolewa 
Dakika ya 68, Sarpong anaingia anatoka Yacouba 
Dakika ya 65 Saido anaingia kuchukua nafasi ya Kisinda
Dakika ya 64, Kisinda anapewa huduma ya Kwanza baada ya kuchezewa faulo
Dakika ya 54 Carinhos anapiga kona inapigwa kichwa na Kaseke inapaa nje kidogo ya lango 
Dakika ya 52, Carinhos anapiga kona ya kwanza inaokolewa inapigwa ya pili Mwanyeto Goal

Dakika ya 50 Jimson Mwanuke anafunga goal akiwa nje ya 18

Dakika ya 47 Kibwana anapeleka majalo mbele
Dakika ya 46 Gustava anaokoa majalo
Dakika ya 46 Kibwana anapeleka majalo
Kipindi cha pili kimeanza 
Mapumziko 

UWANJA wa Mkapa, Yanga 1-0 Gwambina
Dakika ya 45+2 Yacouba anafanya jaribio linaokolewa na kipa wa Gwambina ndani ya 18
Zinaongezwa dakika 3
Dakika ya 45 Gwambina wanapeleka mashambulizi Yanga 
Dakika ya 44 Mwamnyeto anaingia kuchukua nafasi ya Job
Dakika ya 43, Job anapewa huduma ya Kwanza na kuomba atoke
Dakika ya 42, Meshack anaotea
Dakika ya 40 Yacouba anaotea
Dakika ya 40, Shikalo anaanza na Job
Dakika ya 39, Adeyum anacheza faulo kwa Meshack Abraham 
Dakika ya 36, Rajab Athuman anafanya jaribio linaokolewa na kipa Shikalo 
Dakika ya 31 Ninja anamchezea faulo Nonga
Dakika 30, Kisinda anachezewa faulo
Dakika ya 27 Carinhos anapiga kona ya pili fupi anampa Kaseke anamrudishia Carinhos ma kufanya jaribio nje ya 18 inakwenda nje kidogo ya uwanja
Dakika ya 26 Carinhos anapiga faulo kwa Yanga
Dakika ya 18, Nchimbi goal Asisti Kaseke
Dakika ya 17 Carinhos anapiga kona ya kwanza
Dakika ya 14 Shikalo anaokoa faulo ya Gwambina 
Dakika ya 12 kipa wa Gwambina anapewa huduma ya Kwanza 
Dakika 11  Nonga anapokwa mpira

Dakika ya 10 Nchimbi anacheza faulo

Dakika ya 9, Carlos Carlinhos kwa Nchimbi kisha Adeyum ngoma inapelekwa kwa Mkoko
Dakika ya 8 Kaseke anaingiza majalo ndani

Dakika ya 6 Yacouba Sogne anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 5 Nonga anaotea

Dakika ya 4 Ninja anacheza faulo

Dakika ya pili Nonga anaotea

Mchezo wa Ligi Kuu Bara, mzunguko wa pili.


Mzunguko wa kwanza,  Uwanja wa Gwambina Complex ubao ulisoma Gwambina 0-0 Yanga, zama za Cedric Kaze.

3 COMMENTS:

  1. Ninja aende kwenye kick boxing maana naona ndo fani yake

    ReplyDelete
  2. Katimiza majukumu yake vzr tu mwache kijana wetu

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic