April 8, 2021

 


IKIWA Ole Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United atafanya maamuzi juu ya nyota wake Jesse Lingard ambaye anakipiga ndani ya West Ham United basi atapiga mkwanja mrefu.

Lingard yupo zake ndani ya West Ham United kwa mkopo na amekuwa akikiwasha kila anapopata nafasi na ameitwa timu ya Taifa ya England. 

Mpaka anasepa West Ham United, Januari alikuwa hajacheza hata mchezo ndani ya Ligi Kuu England ila kwa sasa West Ham United wanataka kumsajili jumlajumla.

 Solskjaer amegoma kutaja kiasi cha fedha ambazo anahitaji kwa ajili ya mchezaji wake huyo zaidi ya kusema kwamba anahitaji huduma ya mchezaji wake.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic