MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2020/21 ikiwa ni mzunguko wa pili wa lala salama baada ya JKT Tanzania kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
Ok Yanga tuwe tumeshinda hatujashinda mechi ya tarehe 8 may tusikubali kucheza mechi mpaka Simba awe amecheza na Mbeya City na Ruvu Shooting mambo eti ya Kimataifa ni uhuni na hapa kwetu yaliisha miaka 4 iliyopita Simba wanapumzika muno na wanachagua wakati na muda wa kucheza Ligi ,kwa Hilo hongera TFF by Taifa Stars hata ikipangwa na Wanawake wa Nigeria itatolewa tu/Akhasante KARIA friends of Simba
Wewe kweli ushabiki umekuzidi.Mbona hulalamikii Namungo wamecheza mechi 23?Simba wamecheza mechi 6 ndami ta mwezi wa April pekee.May 1 wamecheza mechi moja.Huko kupumzika na kubebwa wamebebwa na nani?Mbona mlipokuwa mnaongoza ligi kelele hizo hatukuzisikia?Kila mtu ashinde mechi zake. HAKUNA kulalama.
Ok Yanga tuwe tumeshinda hatujashinda mechi ya tarehe 8 may tusikubali kucheza mechi mpaka Simba awe amecheza na Mbeya City na Ruvu Shooting mambo eti ya Kimataifa ni uhuni na hapa kwetu yaliisha miaka 4 iliyopita Simba wanapumzika muno na wanachagua wakati na muda wa kucheza Ligi ,kwa Hilo hongera TFF by Taifa Stars hata ikipangwa na Wanawake wa Nigeria itatolewa tu/Akhasante KARIA friends of Simba
ReplyDeleteWewe kweli ushabiki umekuzidi.Mbona hulalamikii Namungo wamecheza mechi 23?Simba wamecheza mechi 6 ndami ta mwezi wa April pekee.May 1 wamecheza mechi moja.Huko kupumzika na kubebwa wamebebwa na nani?Mbona mlipokuwa mnaongoza ligi kelele hizo hatukuzisikia?Kila mtu ashinde mechi zake. HAKUNA kulalama.
ReplyDeleteMuekeze huyo Utopolo. VISINGIZIO vimeanza.
ReplyDelete