FT: Namungo FC 0-0 Yanga
Dakika ya 48 Lusajo anaotea
Uwanja wa Majaliwa
Dakika ya 46 Adeyum anapiga faulo inakwenda nje ya lango
Mapumziko
Namungo FC 0-0 Yanga
Dakika ya 44 Yacouba Sogne anaotea
Dakika ya 36 Saido anachezewa faulo na Jaffary
Dakika ya 33 Kibwana anapeleka mashambulizi kwa Nahimana
Dakika ya 30 mapumziko mafupi kwa ajili ya kupooza mwili joto na mwamuzi wa kati ni Hance Mabena
Dakika ya 27 Yacouba anachezewa faulo nje kidogo ya 18
Dakika ya 23 Fei anapiga shuti linakwenda nje ya lango
Dakika ya 22 Saido Ntibanzokiza anapiga kona haileti matunda
Dakika ya 31Kibwana anachezewa faulo na Lusajo
Dakika ya 18 Sarpong anachezewa faulo na Steven Duah
Dakika ya 15 Nahimana anaokoa kichwa cha Mauya
Dakika ya 13 Jafary Mohamed anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 10 Yacouba anaotea
Dakika ya 8 Hashim Manyanya anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18
Dakika ya 7 Namungo wanapata kona ya kwanza wanaanza kona fupi
Dakika ya 5 Job anaanua majalo
Dakika ya 4 Lukas Kikoti anapeleka mashambulizi Yanga
Dakika ya 3 Yanga wanapiga kona ya kwanza
Tumefunga limekataliwa, tunaonewa
ReplyDeleteTumefunga limekataliwa, tunaonewa
ReplyDeleteMbio za ubingwa kwa Wananchi zimefika ukingoni. Mliokuwa na haki kuingia mitini kumkimbia Mnyama na sasa basi kwa uwezo huo mbele ya Mnyama mmekwisha
ReplyDeleteHuwa tukiingia uwanja ni tunacheza na timu nne kwa wakati mmoja
DeleteMnyama aliyepewa lifti na TFF kala 4G huko bondeni!!!
DeleteMnyama aliyepewa lifti na TFF kala 4G huko bondeni!!!
DeleteTUNA KAMBO LETU MWAKA HUU, TUNATAKA MAKOMBE YOTE,TUMEANZA NA HILI LA MAPINDUZI
ReplyDeleteHongera Mr Senzo. Hizo ndio baraka zako
ReplyDeleteLeo hakukimbia baruti bora wangesusa na hii. Fukuza kocha mechi ya kwanza kafungwa ya pili katoka baruti ya tatu draw
ReplyDeleteMaskini utopolo
ReplyDeletehiyo ndiyo Yanga, hata mechi iloyopita kama isingekuwa mwamuzi kufumbia macho penalti dhahiri shahiri ambayo TZ Prison walipata..
ReplyDeleteNi vizuri walijiweka pembeni mechi ya Simba, kwani wanga aibika