May 28, 2021

6 COMMENTS:

  1. Gazetiii lenu halina ukweli hats kidogo. Ndio maana mwanasport linaendelea kuwa gazet Bora East Africa. Nyingi endeleeni na udaku. Mkiandika matokeo ya mechi ndo yakweli tuu

    ReplyDelete
  2. Yanga na magazeti yake.yani mnazidi kujifariji kupitia magazeti wakati ukweli mnauficha,poleni sana Kwa herufi kubwa(TUNAFAHAMU MGOMO UNAOENDELEA YANGA INGAWA NYINYI MNAFICHA ILA SISI TUNAFAHAMU KILA KITU ALAFU MNADANGANYA WATU ETI AS VITAL YAKABIDHI MASHINE YANGA,LABDA MASHINE YAKUKOBOLEA MAHINDI,MALIZENI MGOGORO HAMUWALIPI WACHEZAJI ALAFU MNAJIFANYA MNA HELA NA MKIFANYA MCHEZO DABI MTAIKIMBIA TENA.HAMNA PESA TIMU INAWASHINDA ALAFU MNAJINADI MNA HELA,LALIGA KASHACHUKUA HELA YA BURE NA LA MAANA HAKUNA,HISA MNGEZIUZA KWA WANANCHI WANAOIPENDA YANGA MUONE MNGEPATA BEI GANI?NA HELA HIYO MNGEITUMIA KUAJIRI WASHAURI KUTOKA NDANI YA BARA LA AFRIKA AMBAO WAPO VIZURI KULIKO MNAVYODHANI,ILA UJINGA ULIOWAJAA NDIO UNAOWAPONZA POLENI SANA NA BADO ENDELEEN KUBAKI GIZANI NA HUO MWAKA MKIJA ZINDUKA WALAH TIMU ITAKUA IMESHAKUFA,DALILI MOJA WAPO YA KUASHIRIA UMASKIN NI AINA YA MKATABA UNAOMPA MCHEZAJI TENA MCHEZAJI MLIEKUA MNAMNADI KWAMBA NI MKUBWA,UKIONA MCHEZAJI MKUBWA ANAPEWA MKATABA WA MIEZI SITA UJUE HAPO MASLAHI HAKUNA KWA MCHEZAJI,NDIOMANA KISINDA,MUKOKO,FISTON NA WENGINE WENGI WAMEPEWA MIKATABA YA HOVYO NA MPAKA SASA WAMESHINDWA KUONYESHA KILE KILICHOTARAJIWA,LEO HII KILA MCHEZAJI ANATAKA KUSEPA POLE SANA MTANI.

    ReplyDelete
  3. Taja basi japo jina lako.maana ndani ya ese yako kuna hoja za msingi ila tunashindwa kujua zimetoka Kwa nani?all in all ahsante kwa mchango.

    ReplyDelete
  4. wanyoihujumu Yanga ni hao hao viongozi na hao GSM wanatupa kiini macho tu, GSM na Mo wote hao lao moja, na ndiomaana Haji Manara na anatamba kuwa Simba itakua bingwa kwa muda wa miaka kumi anajua huyo nini kinachoendelea ndugu zangu, na kama hao viongozi wa Yanga watakua hao hao basi Yanga sahauni kuhusu mafanikio ya club yenu, nasistiza tena huyo GSM na uongozi wa Yanga wote wana usimba including TFF wote wanaizingua Yanga,badilisheni uongozi Yanga haraka iwezekanavyo ndugu zangu

    ReplyDelete
  5. Duh utopolo wanachuana katika ubora wao

    ReplyDelete
  6. Kwa hii comment yako naamin kabisa wengi sana hawatakuelewa,ila nilichokigundua kwako ni kwamba huna uelewa na umekosa taaluma ya mambo ya soka ila yanga itabaki kua yanga na viongozi wake watabaki kama walivyo,hayo unayoyataka wewe haiwezekani,Simba na yanga ni vilabu vya mpira ila ukisema ni kitu kimoja unakosea sana,mungu akusaidie kwa hili pole sana.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic