May 27, 2021

 KOCHA Mkuu wa Yanga, Nassreddine Nabi ameweka wazi kuwa wanahitaji kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara pamoja na ule wa Kombe la Shirikisho.



Yanga katika Kombe la Shirikisho imetinga hatua ya nusu fainali baada ya ubao wa Uwanja wa Kambarage,Shinyanga kusoma Mwadui 0-2 Yanga 


Ndani ya Ligi Kuu Bara ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 61 baada ya kucheza jumla ya mechi 29 na kinara ni Simba mwenye pointi 61 amecheza mechi 25.


Nabi amesema:"Malengo yetu ni kuona kwamba tunatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara pamoja na ule wa Kombe la Shirikisho hilo lipo wazi na tupo tayari kwa ajili ya ushindani, ".


Bingwa mtetezi wa mataji yote hayo mawili ni Simba chini ya Kocha Mkuu, Didier Gomes naye ameweka wazi kuwa anahitaji mataji hayo.

11 COMMENTS:

  1. Replies
    1. ANAJIKOPESHA FURAHA, MPINZANIA AMEBAKIZA MECHI 9, WEWE UMEBAKIZA MECHI 5. UNAWEZAJE KUSEMA UNATAKA UBINGWA? MPINZANIA UNATAKA APOTEZE MECHI NGAPI?

      Delete
  2. Replies
    1. Muamsheni haraka, atanyea kitandani huyoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

      Delete
    2. Muamsheni haraka, atanyea kitandani huyoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

      Delete
    3. Muamsheni haraka, atanyea kitandani huyoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

      Delete
    4. Muamsheni haraka, atanyea kitandani huyoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

      Delete
  3. Timu zinazodaiwa hata pindi zikiupata ubingwa hazitoruhusiwa kushiriki ligi msimu ujao, jee ni timu gani hizo, kwani Tambwe keshalipwa ama Asante Manara alitangaza kuwa keshalipwa

    ReplyDelete
  4. Kama kila kiporo ni ushindi basi TFF wangesha tangaza bingwa, hii yote inatokana na udhaifu wa wahusika wa ratiba, haiwezekani mtu ana michezo 9 imebaki na mwingine ana michezo mitano mkononi,
    Lkn kwasababu ni leage ya bora liende twendeni hivyo hivyo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Timu yako mbovu wewe acha visingizio

      Delete
    2. Simba alikua na majukumu makubwa ya kuliwakilisha Taifa. Wewe endelea na roho ya kwa nini

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic