VIDEO: BONDIA HASSAN MWAKINYO NAMNA ALIVYOMKALISHA MPINZANI WAKE KWA TKO BONDIA Mtanzania, Hassan Mwakinyo ameshinda kwa TKO Antonio Mayala raundi ya nane katika pambano lililopewa jina la Rumble in Dar na kuwa bingwa wa WBC Africa, (ABU) Super Weiterweight raundi ya 10 kwa TKO
0 COMMENTS:
Post a Comment