May 29, 2021

6 COMMENTS:

  1. Hata mkafanya nini. Awali safisheni nyoyo zenu na mumshukuru aliekunyanyuweni hata mkapata fursa za kushiriki michuano ya Africa badala ya kauli za kuwaaimanga kila kukicha na bila ya hivo mtataabika sana. Mnapata nyota na makocha wa kimataifa lakini wakifika kwenu wanskuwa hawafai na kuwatimuwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ahahahah, Kwan umeulizwa? Au ndio muhaho?

      Delete
    2. UKWELI UNAUMA SANA,YANGA HAKUNA JAMBO TENA NA MKIFANYA MCHEZO HATA NAFASI YA PILI HAMUIPATI,LAANA ITAWASUMBUA SANA.MUWE NA KAULI ZENYE HESHIMA SIMBA ATABAKI KUA BINGWA NA YANGA NI BINGWA WA KIHISTORIA.

      Delete
  2. Yanga sio bingwa wa kihistoria bali ni bingwa wa majungu. Timu imewekeza kwenye kuandaa na kusambaza uongo na propaganda chafu dhidi ya simba. Likifika suala la kucheza wanahangaika kuonga wachezaji wa timu pinzani. Mfano ni golokipa wa mwadui juzi tuu hapa.

    ReplyDelete
  3. Mpaka hali hii ikiwa wao wamebakiza michezo mitano tu na Mnyama tisa wakiwa wapili na idadi ya pointi kila timu 61 na Mnyama wa kwanza, bado wanasema wanayataka makombe yote na kocha wao anaonesha muungwana mwenye kufahamu kila kitu bila ya shaka kapewa amri kutamka kuhusu kuyapata makombe yote na waliobaki kuyaamini na kuanzia kusherekea lakini ukweli utaanza kudhiri kiasi cha wiki mbili zijazo

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic