FT: Namungo 1-3 Simba
Uwanja wa Majaliwa
Zinaongezwa dakika 2
Dakika ya 90, Dilunga anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18
Dakika ya 87 Bernard Morrison, goal nje ya 18
Dakika ya 83 Bocco Goooal
Dakika ya 78 Goooal Mugalu
Dakika ya 76, Morrison anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18
Dakika ya 69 Bwalya nje anaingia Dilunga
Dakika ya 68, Kichuya anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 63 Nahimana anapeleka mashambulizi kwa Manula
Dakika ya 58 Kagere anatoka anaingia Bocco
Dakika ya 57 Lusajo anakosa nafasi ya wazi nje ya 18
Dakika ya 56 Kagere anaokosa nafasi ya wazi ndani ya 18 kwa pasi ya Mugalu
Dakika ya 53 Mugalu anakosa nafasi ndani ya 18
Dakika ya 45, Mzamiru anatoka anaingia Morrison
Kipindi cha pili
Dakika 45 zimekamilika na sasa ni mapumziko
Zinaongezwa dakika 2
Dakika 45 zimekamilika, ubao unasoma Namungo 1-0 Simba
Dakika ya 44 Mugalu anafanya jaribio linakwenda nje ya lango
Dakika ya 42 Kichuya anachezewa faulo
Dakika ya 40 Mugalu anafanya jaribio ndani ya 18 linaokolewa na Nahimana
Dakika ya 35 Namungo wanapeleka mashambulizi Simba
Dakika ya 30 Mzamiru anachezewa faulo nje ya 18
Dakika ya 28 Namungo wanafanya jaribio la kushtukiza halileti matunda
Dakika 27 Kagere anafanya jaribio ndani ya 18 linakwenda nje ya lango
Namungo 1-0 Simba
Kipindi cha kwanza
Uwanja wa Majaliwa
Dakika 27 Kagere anafanya jaribio ndani ya 18 linakwenda nje ya lango
Dakika ya 22, Humud anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo Luis
Dakika ya 21 Gooooal Namungo, Nzigamasabo
Dakika ya 16 Luis anapiga faulo nje ya 18 linakwenda nje kidogo ya lango
Dakika ya 10 Mugalu anafanyiwa faulo nje kidogo ya 18
Dakika ya 8 Kened anapeleka mashambulizi Namungo
Dakika ya 7 Relliants Lusajo anakosa nafasi ndani ya 18
Dakika ya 6 Kened Juma anaonyeshwa kadi ya kwanza ya njano kwa kumchezea faulo Ibrahim
Dakika ya 2 Namungo wanapeleka mashambulizi kwa Manula
UWANJA wa Majaliwa,Ligi Kuu Bara
Namungo FC 0-0 Simba
Hiyo ndio Simba ingawa bado jirani hajakata tamaa tunamuombea aendelee kufukuzia upepo atafanikiwa,mwakani tunambeba Kwa hisani zetu ingawa bado Hana shukrani.
ReplyDeleteCongratulation Chama language Simba,ila Manula Bado anafungwa magoli ya kizembe,tutafute mbadala wake,ila in general vijana wamecheza vizuri Sana na combination ya Bocco na Mugalu imeonekana.Inabidi Morrison awe anaanza kwenye match maana uwezo wake umeonekana.Utopolo wataanza kusema case haijaisha huku sisi tukikaribia ubingwa.Simba oyeeeee
ReplyDeleteManula hajafungwa goli la kizembe Ila ule mpira uli deflect baada ya Wawa kuugusa
DeleteWaendelee kuuota ubingwa na makombe yote mengine. Wewe chejeya nyama kali. Hahahaa sasa hata kivuli cha Mnyama haakishuhudii tena hata kwa darbini
ReplyDeleteHuwa nakereka na wanaolaumu bila facts.Mpira umekuwa deflected na Wawa Manula afanye nini,?Manula ndio kipa bora. Akifanya sevu za maana kama ile ya Dodoma Jiji kimyaa.Akifungwa hata kwa kosa sio lake mashabiki maandazi wanalaumu.
ReplyDelete