June 20, 2021

6 COMMENTS:

  1. Kama hersi analipwa na yanga kuzungukia dunia yote hii basi hio ni hasara kubwa. Dunia siku hizi inaenda kijigitali, hakuna haja ya kuenda physically kila mahali kutafuta mtu as if unaenda kununua mchele sokoni. Huyu atakuwa anafanya kazi za kibiashara za gsm kwa mgongo wa yanga

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe unaujua uchumi toka lini,ebu tutolee pumba zako hapa

      Delete
    2. Mapaka fc nyie scout zenu ni zipi? LOKOSA MAGOLI, chikwende na mduhnwa.....uchafu uliokisiri.....wale wabrazil mliowaleta kwa mafungu wako wapi? ..... Kagere, miquisson, chama, Morrison na bwalya scouts za yangu mliingilia dili Mapaka nyie

      Delete
  2. Watu mmezoea kukosoa chochote ambacho Yanga wanakifanya bila kujifikikiria ninyi wenyewe! Kama kumbukumbu zenu ziko sawa, hivi huyu Mzimbabwe atakuwa mchezaji wa ngapi kusajiliwa na Simba mpaka sasa? Niwakumbushe tu, kuna Mkongoman, Bwalya, Mnigeria, Mzimbabwe, na wengine! Acheni kurukaruka na Yanga...

    ReplyDelete
  3. Skautii legelegeee inaa mletaa fistomapenalt skauti og inaaleta mb 3

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic