June 2, 2021

 


NYOTA wa Simba, Bernard Morrison sakata la mkataba wake limeanza upya kufukuta.


Kesi yake kuhusu utata wa usajili na Klabu ya Yanga katika Mahakama ya Usuluhishi wa Kimichezo, (Cas) inatarajiwa kuanza kusikilizwa leo.


Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa Cas wamethibitisha kupokea barua ya rufaa ya kesi hiyo tangu Mei 25 mwaka huu.


"Pande zote mbili kwa maana ya klabu ba mchezaji tumetakiwa kupeleka maelezo Cas na hadi kufikia Juni 2 mwaka huu tayari kwa ajili ya kuanza kusikilizwa.


"Kama klabu sisi Yanga tutapeleka maelezo ila hatujajua kuhusu huyo mchezaji kikubwa tunataka kuona haki inatendeka," .


Kwa sasa Morrison ambaye alisaini dili la miaka miwili Simba akitokea Yanga yupo zake Mwanza ambapo timu yake kesho ina mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting. 


Ishu yake ilisikilizwa na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) ambao wao walieleza kuwa mkataba wake ulikuwa na mapungufu hasa kwa upande wa tarehe na baadhi ya karatasi kukutwa zimechwanwa na kumpa mamlaka nyota huyo kuwa huru.


Jambo hilo lilimfanya Yanga wakate rufaa kwa kuwa wanadai kwamba mteja wao alisaini dili la miaka miwili ila yeye anadai kwamba alisaini dili la miezi sita.

16 COMMENTS:

  1. Lipeni chetu, hatutaki zaidi

    ReplyDelete
  2. Mtasubiri sana meli airport, wenzenu wanawachezea akili ili msihoji sana kuhusu calinhos nanyi mnaingia kichwa kichwa. Kwenye tovuti ya CAS hakina hiyo kesi. Na mbona mlalamikiwa hajatumiwa hoyo taarifa.

    ReplyDelete
  3. Wachi waendelee na vituko vyao mpaka Morrison afikie wakati WA kustaafu soka na hapo huenda wakampata ikiwa yeye Morrison Ana haja nao

    ReplyDelete
  4. YANGA NI MIONGONI MWA CLUB ZINAZOTUMIA MUDA MWINGI NA NGUVU NYINGI SANA KUSHAWISHI MASHABIKI ZAO WAAMIN KITU AMA JAMBO AMBALO KIUHALISIA HALIPO,NA DHAMIRA KUU YAKUFANYA HIVI NI KWAMBA UKWELI WANAUFAHAMU KATIKA MAMBO MATATU 1;YANGA NI KLABU ILIYOSHUKA KIWANGO CHAKE KWA MIAKA YA HIVI KARIBUNI NA KUTHIBITISHA HILO HUU NI MSIMU WA NNE AU TANO SIMBA WANAENDELEA KUBEBA UBINGWA LIGI KUU,2;WAMEJITAMBUA KWAMBA HATA WAFANYE NINI HAWAWEZI KAMWE KUA SAWA NA SIMBA HIVYO WANATUMIA MBINU MBADALA KUWAHADAA MASHABIKI,MFANO MATUMIZI YA MEDIA KAMA GAZETI,REDIO BLOGS SOCIAL NETS NA TV,3;KESI YA BM3 HAIPO CAS TAS UKITAKA KUAMIN INGIA WEBSITE YA CAS THEN TAFUTA DATABASE SITE AMBAYO INAONYESHA KESI ZOTE ZA MIAKA YOTE NA KAMWE HUTAONA KESI YA BM3 NA JIULIZE KWANINI SIMBA INAPOELEKEA KUTAWAZWA KUA BINGWA NDIO MNAANZA KELELE,KWANINI TANGU MWANZO MLIKUA MMENYAMAZA?HII NI ISHARA KWAMBA YANGA MASHABIKI WAKE HAWAJIELEWI NA WANADANGANYWA SANA,MNGEHOJI KUHUSU MUANGOLA NA SIO BM3 ACHENI KUPOTEZEWA MUDA NA KUZUGWA AKILI.,4;USAJILI WA WACHEZAJI AMBAO TAYARI NI MAGARASA MFANO SAIDO,FISTON,SAPPONG,CALINHO,YIKPE NA WENGINE WENGI SANA.KWAKUHITIMISHA YANGA ITAKUJA KUPATA ANGUKO LAKUDUMU MUDA SIO MREFU NA MKIFANYA MCHEZO HATA NAFASI YA PILI MNAWEZA MSIIPATE MKACHEZO SHIRIKISHO NA SIO KLABU BINGWA AFRIKA.

    ReplyDelete
  5. Bm3 mali ya yanga alafu anacheza klabu bingwa Afrika mpaka timu inafika robo,jina limetumwa caf kuthibitisha wachezaji watakao tumika na caf ikatia baraka zake bado uto mmekaa mnajidanganya amakweli aliyewaita mashabiki wa yanga manyani hajakosea,sijui ubongo wenu umeingia mafuta ya taa.mbona kama vipofu mliopokonywa hadi fimbo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hao manyani wanaoshabikia Yanga ukute mama yako au baba yako ni miongoni mwao

      Delete
    2. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kunywa soda nitalipia

      Delete
  6. Mwandishi nawe uwe kielimu katika uandishi wako ,kesi ya Morrison haikusimama mara baada ya yanga kuipeleka cas ,ilipokelewa ,ikahitajika kila upande upeleke vielelezo ,kisha ikaoneka Morrison anakesi ya kujibu ,ikapangwa ili shauri lisikizwe pande zote ziwasilishe fedha kwa ajili ya jaji atakaeshughulikia kesi hiyo January 12 2020 baadae Morrison alitaka kesi irudi TFF Cas wakapinga shauri kurudi TFF hivyoo basi kupangiwa tarehe ya hukumu juni 2 2020

    ReplyDelete
  7. Wapenzi wa Simba nadhani mnashinda ya uelewa na mjitahidi kutokufanya watu wengine hawana akili,comment nyingi mnazotoa mnadhani Viongozi wenu wapo sahihi ok hayo mambo ya Database nk kwako wewe hata Kama ni Mwanasheria au unajua Sheria yanazuiaje kile walichoeleza Yanga kufanya na Kama unaamini hakipo so uache tuone mwisho cse njia ya mwongo Ni fupi,hayo matusi na kejeli hayawezi kuzuia ukweli Kama upo,anguko unalosema wewe na hao Wachezaji sijui hawaja perform hayana uhusiano na kesi ya Morrison TULIA

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hujui ulichokiandika,lets waits and see,ni ushauri na maoni tu sio lazima uyachukue au yanga wayafanyie kazi,na pia inawezekana ni mtazamo wake mtoa comments kutoka na either uelewa wake labda na elimu au nafasi aliyo nayo,ila ukweli ni kwamba cas hakuna kesi ya bm3,na hata kesi ya simba kudai alama tatu za bure kutoka al merreikh haijawahi kufika cas,sasa ndio utapata majibu sijui cas hiyo ni ya hapa bongo.

      Delete
  8. Hatutaki Mpira wa kubumbabumba tunataka Bingwa wa kweli siyo Kama uchaguzi wa siasa watu wanapita Kura,lkn wengine wanazao za Kutangaza.

    ReplyDelete
  9. Sijawahi kuoana klabu yenye viongozi na mashabiki wenye upungufu wa akili kama utopolo
    Wanaacha kutatua na kufuatilia mambo yamsingi ndani ya klabu wanafuatilia vitu waaivyoviweza

    ReplyDelete
  10. WaTz watu wa ajabu sana Kwann uComment kitu usichojua? Let give them chance, kama hakuna tatizo kwa Morrison Povu la
    nn?

    ReplyDelete

  11. More

    More

    More

    More

    More

    More

    More

    More

    More

    More

    More

    More
    Search
    FrenchEnglishSpanish
    CONTACTSITEMAP
    Toggle navigation
    HomeGeneral information
    Focus on news
    List of Hearings
    18.05.2021 15:09

    Liste des audiences - Cette liste est publiée à titre informatif uniquement. De manière générale, les audiences du TAS ne sont pas ouvertes au public.
    En raison des restrictions de déplacement liées à la pandémie du Covid-19, certaines audiences seront conduites par vidéo-conférence.>

    List of hearings - This list is published for information purposes only. In general, CAS hearings are not open to the public.
    Due to the travel restrictions linked to the Covid-19 pandemic, some hearings may be conducted by video conference.

    Lista de audiencias - Esta lista se publica únicamente con fines informativos. En general, las audiencias del TAS no están abiertas al público.
    En vista de las restricciones de viaje debidas a la pandemia de la Covid-19, algunas de las audiencias pueden celebrarse por video-conferencia.



    19.05.21
    CAS 2020/A/7510 Daniel Kinyua Wanjiru v. World Athletics
    CAS 2020/A/7239 Shabab Al Ahli Dubai Club v. Mauro Alberto Díaz & Club Estudiantes de la Plata
    CAS 2020/A/7261 Mauro Alberto Díaz & Club Estudiantes de la Plata v. Shabab Al Ahli Dubai FC

    21.05.21
    CAS 2021/A/7628 Fabián Hernando Puerta González v. Unión Ciclista Internacional (UCI)

    25.05.21
    CAS 2020/A/7578 Mol Fehervar FC v. Danilo Pantic & FIFA

    25.05.21-27.05.21
    CAS 2019/A/6148 World Anti-Doping Agency (WADA) v. Sun Yang & Fédération Internationale de Natation (FINA)

    27.05.21
    TAS 2021/A/7626 Elia Lina Meschack & BSC Young Boys c. Tout Puissant Mazembe
    TAS 2021/A/7627 Tout Puissant Mazembe c. Elia Lina Meschack & BSC Young Boys

    28.05.21
    CAS 2020/A/7599 FC Kairat v. FC Chertanovo

    31.05.21
    CAS 2020/A/7443 Mahmoud Abdelmonem Abdelhamid Soltane v. Zamalek Sporting Club
    CAS 2020/A/7446 Zamalek Sporting Club v. Mahmoud Abdelmonem Abdelhamid Soltane, CD Aves & Al Ahly Sporting Club

    02.06.21
    CAS 2020/A/7582 Al Sadd Sports Club v. Parma Calcio 1913 srl (FC Parma)
    CAS 2020/A/7583 Parma Calcio 1913 srl (FC Parma) v. Al Sadd Sports Club
    CAS 2021/A/7760 André Onana v. UEFA

    03.06.21
    CAS 2020/A/7442 Gil Vicente Futebol Clube v. FK Rad
    TAS 2021/A/7645 EZ Sports S.A.P.I. de C.V (Atlético Morelia). c. Rodrigo Bassani Da Cruz

    07 & 08.06.21
    CAS 2020/A/7495 Chennai City FC v. Sandro Rodriguez Felipe & FIFA
    CAS 2020/A/7496 Chennai City FC v. Adolfo Miranda Araujo & FIFA
    CAS 2020/A/7497 Chennai City FC v. Roberto Eslava Suarez & FIFA

    15.06.21
    CAS 2020/A/7529 Real Sporting Gijon v. AC Chievo Verona

    22.06.21
    CAS 2020/A/7549 Singapore Karate-do Federation v. World Karate Federation

    22 & 23.06.21
    CAS 2020/A/7054 Sporting Clube de Portugal v. Rafael Alexandre de Coinceçao Leao & LOSC Lille & FIFA

    23 & 24.06.21
    CAS 2020/A/7532 Islamic Republic of Iran Football Federation v. Marc Wilmots

    28 & 29.06.21
    CAS 2020/A/7579 World Anti-Doping Agency v. Swimming Australia, Sport Integrity Australia & Shayna Jack
    CAS 2020/A/7580 Sport Integrity Australia v. Shayna Jack & Swimming Australia Limited

    29.06.21
    TAS 2019/A/6586 Club Alianza Lima, Club Sporting Cristal SA, Club Deportivo Universidad San Martín S.A. c. Federación Peruana de Fútbol

    01.07.21
    CAS 2021/A/7632 Ahmad Al Kamali v. World Athletics

    Join our mailing list

    First and last name
    Email address



    Captcha
    Subscribe

    If you are subscribed already and want to unsubscribe or edit your profile, click here.
    Latest news
    List of Hearings
    18.05.2021
    New CAS Bulletin
    18.12.2020
    Contact us
    Avenue de Beaumont 2
    CH-1012 Lausanne
    +41 (21) 613 5000
    +41 (21) 613 5001
    info(at)tas-cas.org or media(at)tas-cas.org

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic