LEO Juni 16 Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kupitia Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Benjamini Kalume umeweka wazi wagombea ambao wamepita kwenye mchujo wa awali katika kuwania nafasi za uongozi ambapo ni kwenye ile ngazi ya Urais na Kamati ya Utendaji.
Pia ametaja sababu za wagombea kushindwa kupenya katika hatua ya mchujo wa awali. Miongoni mwa wale ambao wameishia hatua ya awali ni Ally Mayay, Oscar Oscar kwa upande wa wagombea Urais huku Saady Kihmji na Jimmy kwa upande wa Kamati ya Utendaji.
Madudu ya karia hayo
ReplyDelete