June 16, 2021

NAHODHA Msaidizi wa Klabu ya Yanga, Ramadhan Kabwili amesema kuwa wachezaji wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho Juni 17 dhidi ya Ruvu Shooting utakaochezwa Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku.
 
Kabwili amesema kuwa bado wana malengo ya kutwaa ubingwa. Ameongeza kuwa utakuwa mchezo wa kukimbizana na wanahitaji pointi tatu.

 

1 COMMENTS:

  1. Kwahakika wanatia huruma. Hawana bahati. Wakiletewa nyota wa bei chafu hutokea magalasa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic