VIDEO:RUVU SHOOTING YAIPIGA MKWARA YANGA, KAMILI KWA MCHEZO WA KESHO
NAHODHA wa kikosi cha Ruvu Shooting Renatus Ambros amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Yanga na wanaamini kwamba watapambana kupata pointi tatu katika mchezo huo ambao unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.
0 COMMENTS:
Post a Comment