June 20, 2021

5 COMMENTS:

  1. Hii yaweza kuwa kweli, wachezaji hawalipwi ndomaana wanagoma nakucheza chini yakiwango. Mashabiki twaumia uongozi uangalie hili

    ReplyDelete
  2. tatz viongoz washaona mashabik wao vilaza basi wanawalisha matango poli

    ReplyDelete
  3. Suala la malipo litaturudisha nyuma sana yanga. Viongozi wao hudhani baada ya mauzo ya ticket. Jezi. Nk nk pesa ni kutia mifukoni. Wanasahau wateja #1 ni wachezaji. Mnatutia aibu viongozi yanga. Watizameni wenzetu simba

    ReplyDelete
  4. Wakati Mnata hajalipwa msimu mzima huku Yanga wanafanya usajili wa kufuru? Inakera Kama sikutia kichefuchefu kwa mtoto wa kiume.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic