VIDEO: YANGA YAKAMILISHA USAJILI WA NYOTA 7
USAJILI wa Yanga kwa msimu wa 2021/22 umepamba moto baada ya mabosi hao kudaiwa kwamba wamekamilisha usajili wa nyota wa AS Vita, Djuma Shaban na inaelezwa kuwa hesabu zake ni kukamilisha usajili wa nyota 7.
Kumbe ilikuwa bado kusajiliwa mona kila siku mkitangaza keshamwaga wino
ReplyDeleteHahahaa
DeleteSasa huyo Manji yanini kutia picha zake ambapo imeshakanushwa kurejea Yanga? Wa kutunzwa hapo ni Heris na die wa ndani ya ndoto
ReplyDeleteUmeandika nini wewe!!!!!
Delete