SHABIKI wa Yanga amebainisha kuwa kwa namna ambavyo jana Julai 18 ameiona Simba ikicheza na Namungo haoni kama ina uwezo wa kuifunga Yanga Julai 25 kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho.
Mwina Kaduguda, mzee wa Simba amesema kuwa yeye ni gwiji wa mpira, huku akimtaja Mzee Mpili kwa kusema kuwa ana yeye ana watu wasioonekana na wanaoonekana na amehamisha Lake Tanganyika ipo Mbande.
0 COMMENTS:
Post a Comment