July 4, 2021

FREDRICK Mwakalebela, Makamu Mwenyekiti wa Yanga ameweka wazi kwamba tayari vijana wameshajua namna ya kuendelea kupata ushindi ambapo kuelekea kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho wanaamini kwamba watakwenda kushinda mbele ya Simba katika mchezo ujao huku wakiwa na imani kwamba wana uwezo wa kutwaa ubingwa wa ligi, Kombe la Shirikisho na lile la Mapinduzi ambalo wameshalichukua.

 

1 COMMENTS:

  1. Kwa hiyo ndoto ya mchana, baada ya ushindi huu basi na ubingwa wamechukua?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic