OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa hawawezi kufungwa mbele ya Yanga mara mbili.
Kuelekea kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Julai 25 wamebainisha kuwa watashinda fainali kwa ushindi.Ameweka wazi kwamba Mzee Mpili hachezi.
Maneno yako HAJI MANARA uwa yanawapa nguvu wachezaji wa Yanga, yanawaongezea fighting spirit kubwa sana, ukweli uwa una mrahisishia sana kocha wa Yanga kazi, ushindi ilioupata Yanga tarehe 3 dhidi ya Simba pongezi nyingi zilipaswa upewe uliewapa morali wachezaji wa Yanga kwa kuwaita takataka dhidi ya wachezaji wa Simba. Bila shaka jamaa wamekusikia na mechi hii watakaza zaidi mpaka uwaheshimu.
Ni vizuri kama timu zote zitakaza, kwa hiyo mbinu za kiufundi ndio zitataeala, mwenye mbinu bora ( sio za kichaei au rushwa) na wachezaji mahiri atashinda
Muwe mnaweka tahadhari
ReplyDeleteManeno yako HAJI MANARA uwa yanawapa nguvu wachezaji wa Yanga, yanawaongezea fighting spirit kubwa sana, ukweli uwa una mrahisishia sana kocha wa Yanga kazi, ushindi ilioupata Yanga tarehe 3 dhidi ya Simba pongezi nyingi zilipaswa upewe uliewapa morali wachezaji wa Yanga kwa kuwaita takataka dhidi ya wachezaji wa Simba. Bila shaka jamaa wamekusikia na mechi hii watakaza zaidi mpaka uwaheshimu.
ReplyDeleteNi vizuri kama timu zote zitakaza, kwa hiyo mbinu za kiufundi ndio zitataeala, mwenye mbinu bora ( sio za kichaei au rushwa) na wachezaji mahiri atashinda
ReplyDeleteMpili hachezi Haji anacheza?
ReplyDelete