July 19, 2021


 HAJI Omari maarufu kama Mzee Mpili amesema kuwa hakuna namna ambayo wapinzani wao Simba wanaweza kufanya kuelekea kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho, lazima wafungwe.

Simba inakwenda kukutana na Yanga, Julai 25 katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho ikiwa na kumbukumbu ya kunyooshwa kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Yanga katika mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Mkapa Julai 25.

Kabla ya mchezo huo uliokuwa na sarakasi nyingi, Mzee Mpili aliibuka na kuweka wazi kwamba Yanga itashinda bao moja na baada ya dk 90 ngoma ilisoma Simba 0-1 Yanga.

Mzeee Mpili kuekelea mchezo huo amesema:"Mimi nina watu na tunacheza mpira kwa hesabu kubwa ili kuona kwamba tunashinda. Kuelekea kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Simba, kweli Kigoma hawatoki.

"Ndani ya dakika 90 za mchezo hapo tayari mpira umekwishwa na tumepata kabisa ushindi kwani sisi tunahitaji kutwaa Kombe la Shirikisho.

"Nimeona kwamba na Simba nao wanatamba kwamba wanahitaji kushinda basi subiri na tuone hao wote wanaozungumza tutakutana nao Kigoma," amesema.

8 COMMENTS:

  1. Hii mechi imepigiwa prom hatari, uwanja utatapika.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Promo kubwa huku uwanja ukitarajia watazamaji 20,000!!! Bado Kidau anajivuna ati hakuna uwanja uliowahi kutosha mashabiki!! Wanachezea maisha ya watu hawa jamaa. Basi waweke screen kubwa nje ya Lake Tanganyika stadium maana hawa mashabiki wangali wanaishi dunia ya analog.

      Delete
  2. Huyu ni mtu mzima na wa Msikitini na anajuwa uwepo wa Mungu na ndie anaemuabudu lakini hapa mpira umememfanya amsahau kwa kutamja neno *lazima Simba afungwe* ilibidi ampeleke Mungu mbele kama wanavotumia wachezaji wa kila dini. Kwa kosa hilo Namhakikishia Simba hamtoifunga. Uwezo wa Simba wa jana hsuendeeni kabusa na ule wenu na Dodoma

    ReplyDelete
  3. Huyu mzee anazidi kutupaka ati sisi yanga ni wachawi. Viongoziiiii wachawi wetu wasiwe wasemaji wetu. Kazi zao ziishie huko huko maporini

    ReplyDelete
  4. Kuna watu wanatusimanga kisenge hata kombe wamechukua bira, kuizifunga timu kubwa kombe la tff kama uajitambua," vizur mshabiki wa simba unazomea team ya young iliyokulea ndo, ukaanza kufanya uwazimu mambo ya kutojitambua nakushaur nenda ukapime unaugonjwa wa akiri pumbu zenu," kigoma lazima mlale daima mbele nyuma mwiko!

    ReplyDelete
  5. This is simba nyie subirin kugeuzwa kapu la magol,Mungu ibariki simba iweze kumfunga yanga maana huku mtaani mashabiki wa yanga wanatutambia sana....

    ReplyDelete
  6. Wakati Mzee Mpili na timu yake wakijitarisha kulichota kombe la Azam, matokeo ya mecho yao ya mwisho kabla ya mechi hiyo ni juzi tu ubao ulisema:- Yanga: 0 Dodoma: 0

    Namungo: 0 Simba: 4


    Mzee bado unayo tamaa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic