VIDEO:MASHABIKI SIMBA WANUNA, WARUSHA MACHUPA
MASHABIKI wa Simba baada ya mchezo wa jana Julai 3, Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 0-1 Yanga walionekana wakirusha machupa ya maji kwa wachezaji wa Yanga ambao walionekana wakiokota na kuweka kwenye ndoo ya takataka.
SIKUONA HAJA YA WACHEZAJI KUINGIA KWENYE VITA HII KWA SABABU LEO UPO YANGA KESHO UPO SIMBA WAMEKUWA KAMA HANAWA AKILI SAWASAWA
ReplyDelete