August 25, 2021


 KLABU ya Yanga leo Agosti 25, 2021 wamefanya uzinduzi wa jezi mpya za msimu wa 2021/22 kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Katika hafla hiyo fupi ni Haji Manara alikuwa mshika kipaza na kuongoza shughuli nzima ambayo ilihudhuriwa pia na Waandishi wa Habari.

Manara amesema kuwa ni uzi bora kuwahi kutokea ndani ya Afrika Mashariki na kuwaomba mashabiki waweze kuununua uzi huo kwa wingi bila kusahau kujitokeza kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi, Agosti 29, Uwanja wa Mkapa.

14 COMMENTS:

  1. ,,,,sounds cu:/ wananchiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
    Replies
    1. kelele nyingi lakini ni Jezzy Za kawaida Sana hata zile za simba za mazoezi ni bora zaidi.

      Delete
    2. Simba endeleeni na vijora vyenu..hehehe

      Delete
    3. Mi ni simba damu lakini Uzi huo mweusi uko vizuri was yanga zingine ni marudio tuu

      Delete
  2. hauna makolokolo kama alivyosema msemaji

    ReplyDelete
  3. Hatimaye wamevua pempasi utopolo hongereni.
    Huyo Bugatti njaa njaa imeonesha uasili wake alivyokuwa anatuhujumu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hajawahujumu mikia bali viongozi we mikia ndio waliomhujumu ili aondoke. Kama kuvumilia alipitiliza

      Delete
    2. Ndio maana alikuiteni utopolo

      Delete
  4. Wabongo bhana picha yenyewe ina ukungu, jezi zenyewe Kama kitenge.... Acheni vituko

    ReplyDelete
  5. Huyo ni msakatonge wa Bongo, lakini akili za watu unaweza kuzilinganisha na za chekechea, hazioni kesho anaweza kusema nini utakapomkwaza

    ReplyDelete
  6. Jezi imejaa vibonzo kila kona,"daima vikatuni nyuma vibwengo" hahahahaaaa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic