KLABU ya Yanga leo Agosti 25, 2021 wamefanya uzinduzi wa jezi mpya za msimu wa 2021/22 kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Katika hafla hiyo fupi ni Haji Manara alikuwa mshika kipaza na kuongoza shughuli nzima ambayo ilihudhuriwa pia na Waandishi wa Habari.
Manara amesema kuwa ni uzi bora kuwahi kutokea ndani ya Afrika Mashariki na kuwaomba mashabiki waweze kuununua uzi huo kwa wingi bila kusahau kujitokeza kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi, Agosti 29, Uwanja wa Mkapa.








,,,,sounds cu:/ wananchiiiiiiiiiiii
ReplyDeletekelele nyingi lakini ni Jezzy Za kawaida Sana hata zile za simba za mazoezi ni bora zaidi.
DeleteSimba endeleeni na vijora vyenu..hehehe
DeleteMi ni simba damu lakini Uzi huo mweusi uko vizuri was yanga zingine ni marudio tuu
Deletehauna makolokolo kama alivyosema msemaji
ReplyDeleteNjaa kweli haina aibu.
ReplyDeleteHatimaye wamevua pempasi utopolo hongereni.
ReplyDeleteHuyo Bugatti njaa njaa imeonesha uasili wake alivyokuwa anatuhujumu
Hajawahujumu mikia bali viongozi we mikia ndio waliomhujumu ili aondoke. Kama kuvumilia alipitiliza
DeleteNdio maana alikuiteni utopolo
DeleteBasi naye ni utopolo
DeleteWabongo bhana picha yenyewe ina ukungu, jezi zenyewe Kama kitenge.... Acheni vituko
ReplyDeleteHahahaha. izijezi atali sana
ReplyDeleteHuyo ni msakatonge wa Bongo, lakini akili za watu unaweza kuzilinganisha na za chekechea, hazioni kesho anaweza kusema nini utakapomkwaza
ReplyDeleteJezi imejaa vibonzo kila kona,"daima vikatuni nyuma vibwengo" hahahahaaaa
ReplyDelete