August 9, 2021


 UONGOZI wa Yanga umetangaza kuachana na makipa wao wawili ambao walikuwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2020/21.

Ni Metacha Mnata ambaye alijiunga na timu hiyo 2019 akitokea Mbao FC na Faroukh Shikalo ambao walikuwa wakipishana langoni kwa msimu uliopita.

Kipa namba tatu Ramadhan Kabwili atabaki ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na kocha Razack Siwa kwa makipa.



Kabwili alidaka mchezo mmoja ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2020/21 ambapo ilikuwa mbele ya Dodoma Jiji.

Hii ni kwa mujibu wa Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Haji Mfikirwa.

5 COMMENTS:

  1. Unawaacha makipa wawili tegemeo kwa ajili ya kipa mpya ambaye huna hakika ata perform vipi? Frankly speaking, mmechemka

    ReplyDelete
  2. Hii timu kwenye usajili hainaga bodi wao wanakaa kijiwen kufikilia wanapgaje pesa tumuache flani tumleta flani duu

    ReplyDelete
  3. Ila kwa matusi mmejaliwa mashabiki wa Yanga

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic