UONGOZI wa Yanga umetangaza kuachana na makipa wao wawili ambao walikuwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2020/21.
Ni Metacha Mnata ambaye alijiunga na timu hiyo 2019 akitokea Mbao FC na Faroukh Shikalo ambao walikuwa wakipishana langoni kwa msimu uliopita.
Kipa namba tatu Ramadhan Kabwili atabaki ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na kocha Razack Siwa kwa makipa.
Kabwili alidaka mchezo mmoja ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2020/21 ambapo ilikuwa mbele ya Dodoma Jiji.
Hii ni kwa mujibu wa Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Haji Mfikirwa.









Unawaacha makipa wawili tegemeo kwa ajili ya kipa mpya ambaye huna hakika ata perform vipi? Frankly speaking, mmechemka
ReplyDeleteKatiwe bunzi uko
DeleteHii timu kwenye usajili hainaga bodi wao wanakaa kijiwen kufikilia wanapgaje pesa tumuache flani tumleta flani duu
ReplyDeleteBodi unalo wewe nyuma
ReplyDeleteIla kwa matusi mmejaliwa mashabiki wa Yanga
ReplyDelete