August 29, 2021


 MZEE wa kuwajaza ndani ya kikosi cha Yanga, Heritier Makambo ameanza kuwajaza mashabiki wake Uwanja wa Mkapa.


Leo Agosti 29 timu ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Nasreddine Nabi inacheza mchezo wa kirafiki na Zanaco. 


Bao la Heritier Makambo limepachikwa dakika ya 30 kwa shuti kali ndani ya 18 baada ya kulichungulia lango la wapinzani.


Ni pasi ya Feisal Salum kiungo pendwa anayependwa na wazawa pamoja na Ofisa Habari mpya, Haji Manara.

4 COMMENTS:

  1. Bado ni mapema sana kujimwambifaya ngojeni ligi ianze ndo tujue mbivu na mbichi

    ReplyDelete
  2. Hivi kumbe Haji kawa afisa habari yanga? Vipi akina Nugas na Bumbuli? Na vipi mzee mpili?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic