August 29, 2021

 


KIPINDI cha pili walitoa tuzo kwa wachezaji na walibadili jezi.

Mchezaji bora alikuwa ni Tonombe Mukoko alipewa tuzo na milioni tatu.


Tuzo ya mfungaji ilikuwa kwa Yacouba Songne alipewa tuzo na milioni tatu.


Mchezaji kijana alikuwa ni Kibwana Shomari alipewa tuzo na milioni tatu.

Bangala anaingia kuchukua nafasi ya Tonombe Mukoko.

Fiston Mayele anaingia dk 58 kuchukua nafasi ya Heritier Makambo.

6 COMMENTS:

  1. Vveeeppeeeee huko mwananchi anaendeleaje?

    ReplyDelete
  2. Wazee wakubadili pempasi uto mpoooo

    ReplyDelete
  3. Nyota njema huonekana ahsubuhi.
    Uto tayari Chali Cha mende

    ReplyDelete
  4. Mbn umeacha kuripoti?? C ungeendelea hd pale kapumbu alpozamisha bao....!

    ReplyDelete
  5. Kapumbuuuuu awalaza Chali Cha mende utopolo kwenye siku yao

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic