August 10, 2021

6 COMMENTS:

  1. Mashabiki hatuamini kama kweli dili limefeli tutashukuru kama kweli dili limefel

    ReplyDelete
  2. Mimi binafsi iliniuma kuondoka kwa Luis na ikuwa ni kweli hatoondoka ni faraja kubwa kwa wana Simba, lakini pia tukumbuke kuwa zipo timu nyingi nyengine zilikuwa zinamtaka

    ReplyDelete
  3. Kwakweli Luis akibaki ntafurahi sana! Nlishaanza kupoa kwa kuondoka kwake!

    ReplyDelete
  4. Dau lilikua kubwa ukilinganisha na kiwango cha mchezaji

    ReplyDelete
  5. Arudi acheze FDL tarehe 24 haipo mbali CAS hoyeee

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic