VIDEO: PETER BANDA KUIBUKIA SIMBA, MWENYEWE AFUNGUKA
PETER Banda nyota wa kimataifa wa Malawi anayekipiga ndani ya Big Bullets inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za kutua ndani ya Simba ili awe mbadala wa nyota wa timu ya Simba, Luis Miquissone ambaye yupo kwenye hesabu za kutua Al Ahly.
Simba: mbona mna weweseka juu ya Peter Banda??? Si mlisema Yanga hawana hela? Mkiwaita Gongo wazi, vyura, utopolo??? Mbona hamjiamini mbele ya maskini? Nyie si matajiri? Mbona mnaihofia Yanga? Yanga ni maskini hawana hela, mpaka wapitishe Bakuli. Peter Banda ana wafanya muanze kuielewa Yanga, umdhaniaye kumbe siye, ukijiona upo juu usijisahau jua wapo walio chini wanapambana kukufikia.
ReplyDeleteKivip mzee?acha kutoa povu kama unafua kwakutumia omo,unaweweseka mwenyewe sio simba.
DeleteYanaweweseka mqgazeti yenu na redio zenu sio simba.mnacheza judo badala ya kucheza mpira,tim mwakinyo.
ReplyDeleteDuh utopolo shida, yaani Simba anaingiaje hapa, pambanapeni na hali zenu, mnataka Simba naye aanze kukimbia kimbia kama vitoto. Another level,
ReplyDeleteTakiribani 4 years mnafanya maigizo haya, je hamuoni aibu!!!
ReplyDelete