August 9, 2021

7 COMMENTS:

  1. Haya simba na yanga mwaka huu tutaona maana hata hatuoni usajili wa klabu nyingine lkn ndo maendeleo

    ReplyDelete
  2. Sio Yikpe huyu!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. Simba hivi sasa wamekuwa wazee wa tetesi tu hakuna jipya. Simba imegubikwa na tetesi tu hakifahamiki nini kinaendeela wakati mwengine sio nzuri Sana. Suala la kuuzwa Miqisone limegubikwa na tetesi, suala la kuuzwa Chama limegubikwa na tetesi, masuala ya usajili yemegubikwa na tetesi inaweza ikaja ikabeki faya wasipokuwa makini wakati ndio huu wanatakiwa kufunguka kuendelea na masuala mengine kama ya simba day nakadhalika kama Yale ya maandalizi ya timu.kwa msimu mpya.


    ReplyDelete
    Replies
    1. Tetesi za kutunga za mwandishi sio za kutoka kwenye uongozi wa Simba

      Delete
  4. Huyo jamaa mbona anaonekana kama yikpe muwe makini mnaosajili musituletee mauza uza hatujazoea kukilihika mambo ya kukilihika yapo upande wa pili yani utopolo

    ReplyDelete
  5. Hahahahahha dah et bilioni moja! Ila nyie acheni ufara bwana

    ReplyDelete
  6. Safi watani kama unauza kwa 2B halafu unanunua kwa 1B sio mbaya ila mkataba sasa uwe miaka 4 au zaidi

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic