August 5, 2021

SHABIKI wa Yanga ameweka wazi kwamba Haji Manara ambaye alikuwa ni Ofisa Habari wa Simba yeye ni mali ya Yanga hivyo anakaribishwa ndani ya kikosi hicho. 

Pia ameweka wazi kuwa kwa usajili ambao wameufanya kwa sasa wanaweza kufanya vizuri zaidi huku akibainisha kwamba nyota wa Simba Peter Banda ni mtoto na Onyango ana miaka 27 ya Kenya.

 

2 COMMENTS:

  1. Kwel yanga jalalaa vitu vibovu vyote lazima vitupwe uko kama usajili kila mwaka munasajili tena munawasajili wachezaji walio na urafiki na benchi mnyama utamuambia nini wakat yeye anawaza kuchukua klabu bingwa make vpl halina changamoto hana wakugombana nae

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic