September 3, 2021

7 COMMENTS:

  1. Hawa hawana maajabu zaidi ya magunashi ya nje ya Uwanja.Na suluhu waliopata Taifa Stars zidi ya Congo ni kengele ya kuwamsha wanayanga kuwa kusajili wakongo sio kuchukua ubingwa. Wala wasije kuanguka kwa presha pale kwa mkapa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yaani usipoisema Yanga huoni raha Kwanini usiiache endelea kufuatilia timu yenu ya MAKOLOKOLO FC MWIJAKU FC

      Delete
  2. Yanga ni kama maji usipo kunywa utaogea, ndio maana kila mtu anaongelea Yanga, kwa raha au chuki

    ReplyDelete
  3. viongozi wetu wa Yanga muda wote wanafikiria jinsi ya kuwashinda watani wao Simba. Mawazo mgando sana haya. Kwani Simba ndiyo timu pekee katika ligi kuu? Hivi malengo ya klabu ni kuishinda Simba tu na si kuipeleka timu mbele kwenye ubora hasa kwa kushinda mechi za CAF? Tarehe 3/7 tuliishinda Simba lakini wakatufanya tulie uwanjani kule Kigoma. Pole Nugaz machozi yako tuliyaona

    ReplyDelete
  4. Vijarida vinalipwa kuwapamba Utopolo. Shida ni kwamba mpira hauchezwi kwenye majarida na Stephenie uchwara za redio bali uwanjani. Fikiria ingekuwa ni Utopolo ndio wameingia raundi ya kwanza ya CAF katika timu 10 ingekuwa hadithi ya kila asubuhi.Imagine ingekuwa Utopolo imeibeba Simba kwenye CAF tungekoma.Kuweni na weledi pamoja na ushabiki wenu na bahasha.

    ReplyDelete
  5. We makorokoro Fc akili mbovu mlitoa Timu ya akina Chikwende ndipo mkaingia makundi ,mshukuru Corona Virus,halafu maajabu Timu ya Chikwende eti super star alikuwa yeye, kumbuka waligomea mchezo baada ya mauza uza ,kifupi huna la kututambia michuano ya msimu uliyopita ilikuwa Bonanza hapakuwa na Club Bingwa,ndiyo maana ule msemo wa nyumba ya shetani mwendawazimu kaingiaje kidogo utokee.Hiyo Ligi Ni Akhasante Sasi,Alagija ,bila Kusahau unazi wa baadhi ya Timu zisizo na maadili Wana under perform maksudi hili mshinde eg Mbeya City,KMC,Coastal,Namungo, IHEFU,Biashara,JKT na Kagera ya BARAZA.yote matawi yenu.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic