Jina jipya la Manara..Kidagaa�� Unajua Mtu ukiwa maarufu unatakiwa kuwa Role model lakini kwa hapa kwetu Tanzania ni mambo ya kushangaza au tuseme mambo ya kusikitisha. Mtu akiwa maarufu kwetu kibongobongo ndio mtu anapoona ni wakati muafaka wakuwa mkosefu wa adabu.Ukimsikiliza Fathya unaona kabisa jinsi gani amekuwa very disappointed na kauli za Khaji Manara hasa zile ambazo alizitoa wakati akiwa bado yupo simba. Hata baadhi ya kauli za Fathya anazozitoa ambazo zina ukakasi naamini kabia ni dalili tosha kuonesha kuwa tunatatizo katika kuwasilisha maudhui yetu kwa watoto.Ningetamani Sana khaji Manara alipoondoka simba basi angetoa maneno ya faraja kwa kundi hili la mashabiki watoto ambao wengi walimkubali. Hata Nugazi sikumsikia akisema lolote kuhusu mashabiki wake watoto wakati akiwaaga Yanga. Haya mambo ya kuwachukilia watoto poa,hapa ndio ndipo tunapofelia waafrica.
mnapoteza muda wenu kujibishana na Manara hebu acheni fanyeni mambo mengine....si mumwache ameamua kwenda kwa waajiri wengine mbona kila siku mnajibizana na mnatafuta kiki ya watu/watoto/vyombo vya habari eti kumjibu Manara acheni upuuzi huo kama hamna shughuli ya kufanya ni bora mkae kimya tu
Jina jipya la Manara..Kidagaa��
ReplyDeleteUnajua Mtu ukiwa maarufu unatakiwa kuwa Role model lakini kwa hapa kwetu Tanzania ni mambo ya kushangaza au tuseme mambo ya kusikitisha. Mtu akiwa maarufu kwetu kibongobongo ndio mtu anapoona ni wakati muafaka wakuwa mkosefu wa adabu.Ukimsikiliza Fathya unaona kabisa jinsi gani amekuwa very disappointed na kauli za Khaji Manara hasa zile ambazo alizitoa wakati akiwa bado yupo simba. Hata baadhi ya kauli za Fathya anazozitoa ambazo zina ukakasi naamini kabia ni dalili tosha kuonesha kuwa tunatatizo katika kuwasilisha maudhui yetu kwa watoto.Ningetamani Sana khaji Manara alipoondoka simba basi angetoa maneno ya faraja kwa kundi hili la mashabiki watoto ambao wengi walimkubali. Hata Nugazi sikumsikia akisema lolote kuhusu mashabiki wake watoto wakati akiwaaga Yanga. Haya mambo ya kuwachukilia watoto poa,hapa ndio ndipo tunapofelia waafrica.
mnapoteza muda wenu kujibishana na Manara hebu acheni fanyeni mambo mengine....si mumwache ameamua kwenda kwa waajiri wengine mbona kila siku mnajibizana na mnatafuta kiki ya watu/watoto/vyombo vya habari eti kumjibu Manara acheni upuuzi huo kama hamna shughuli ya kufanya ni bora mkae kimya tu
DeleteWaape ukweli,huyu. Toto maskini ya mungu sijui kalishwa ugoro au bangi walaa sijui
DeleteAliyeanza upumbavu ni Manara. Angekuwa mstaarabu kama Senzo au Nugaz wala isingekuwa issue. Lakini ada ya mja hunena muungwana ni kitendo.
ReplyDeleteHivi ninyi watu wa Simba mna laana gani? au ndiyo undondocha kawapa ponjoro punguzeni hatred ,Watu wameama dini Sembuse Mpira 😍😍😍😍😍😍
ReplyDelete