September 4, 2021


UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa mchakato wa kumsaka Ofisa Habari wa timu hiyo ukikamilika kila kitu kitakuwa wazi kwa mashabiki.

 Hivi karibuni ziliibuka tetesi kuwa Antonio Nugaz ama Salama Jabir wapo katika hatua za mwisho kutambulishwa ndani ya Simba.

Pia imeweka wazi kuwa itacheza na timu iliyotwaa ubingwa wa Afrika zaidi ya mara tatu. Kaimu Ofisa Habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga amesema kuwa mashabiki wasiwe na presha kwa sasa wawekeze nguvu kuelekea Simba Day, Septemba 19 na timu ambayo itakuja Bongo ni kubwa.

 

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic