September 8, 2021


UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa suala la viingilio litawekwa wazi mara baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) ambalo huwa linapokea taarifa kutoka Caf kuelekea kwenye mchezo wao wa kimataifa wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya River United ya Nigeria hii ni kutokana na kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona.

 Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Nabi ina kibarua hicho Septtemba 12 huku ikiwakosa nyota wake watatu ambao ni Khalid Aucho, Fiston Mayele na Djuma Shaban kwa mujibu wa Ofisa Habari wao Haji Manara.

 Pia Yanga imetambulisha sera mpya kwa itakayotumika ambayo ni 'Return of The Champions'.

 

1 COMMENTS:

  1. Ita mashabiki manara,, CAF itawazuia wote coz of Corona!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic