September 8, 2021


FEISAL Salum, nyota wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambaye jana Septemba 7 alikuwa miongoni mwa mashujaa walioipeperusha bendera ya Tanzania kwa kupata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Madagascar amesema kuwa yote hayo ni maelekezo ya mwalimu na wanamshukuru Mungu kwa kuwa wamepata ushindi.

Ni bao la ushindi lilitoka kwenye mguu wake dakika ya 52 akimalizia kazi murua kutoka kwenye miguu ya nahodha Mbwana Samatta.

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic