September 9, 2021

OFISA Habari wa Yanga, Haji Manara ametupa dongo kimtindo kwa mabosi wake wa zamani Simba katika ishu ya kutumia msuli kuwaita mashabiki uwanjani kwa kueleza kuwa mahali alipo kwa sasa hatatumia msuli mwingi ni suala la kukumbushana kidogo tu kwa kuwa alikuwa anaona gere namna watani zao walivyokuwa wakifanya kazi.

 Kabla ya kujiunga na Yanga, Manara alikuwa ni Ofisa Habari wa Simba. Jumapili Yanga ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Rivers United na slogan yao inasema, 'The Return of the Champions,'

 

13 COMMENTS:

  1. Aachane na habari za simba, atakufa bure, apambanie utopolo wake

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama alikuwa anaona gere sasa kwanini aondoke Simba kwa matusi.😫

      Delete
  2. Ukiona mtu anazungumzia alipofukuzwa jua roho bado inamuuma au hana weledi kwenye kazi na maisha yake.Chukulia Senzo kama haupo Tanzania au hujawahi kufuatilia alipokuwa mwanzoni huwezi kujua alikuwa wapi.Weledi wake ni kutolea mfano kwa huyu mshamba utafikiri maisha kaanza leo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umejibu kwa weledi mkubwa bila ushabiki

      Delete
    2. huyu Manara ameshakuwa mwendawazimu na bora viongozi wa Simba wamempotezea na kwa hakika nampa salute CEO Barbra kwa kumpiga teke huyu mwendazake.Manara inaelekea imemuuma sana kuondolewa Simba na kwa sasa anapambana na ndoto za majinamizi.Yeye Manara aendelee kupiga pesa za fadhila ya usaliti alioufanyia Simba na haya yote anayoropoka kuwa yeye hakuwahi kuwa Simba ni sawa na malaya asiyejua kesho yake ataenda kumtumikia bwana gani.Naona hata waandishi na wachambuzi wameshaanza kumkimbia kiaina.

      Delete
  3. Nnachofurahia hd sshv n kuwa viongozi wa Simba wala hawamjib Manara,,,, wapo kimya km hawamckii! Atabwabwaja yoooote mwisho wa cku atachekwa yy kupga kelele bila kujibiwa!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wanaogopa kumjibu wanajua atasema mazito zaidi...hehehe chezea Haji

      Delete
    2. Kwan mpk ajibiwe?kama yapo zaidi ya kusema c aseme kwani amezuiwa kusema... Ameenda kwenye timu anayoendana nayo kwa sasa

      Delete
  4. Aliyesema "kuwa YANGA basi atakuwa maiti yaani over mya dead body je aitwe MAITI YA YANGA

    ReplyDelete
  5. Over my dead body is the saying of Haji if is at YANGA.
    Can we say MAAJABU MAITI YA YANGA INAONGEA!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic