UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa usajili ambao wamefanya ni mzuri kwa kuzingatia umri pamoja na uwezo wa wachezaji huku ukibainisha kuwa ujio wa beki Henock Inonga kutoka Congo ni moja ya sajili bora kwao.
Pia ana uwezo wa kutumia miguu yote miwili na beki wa kiwango cha juu, hakuna mfano wake ni kwa mujibu wa Crestius Magori aliyekuwa CEO wa timu hiyo ila kwa sasa CEO ni Madam Barbara Gonzalez.
Kazi hiyo tena kimya kimya bila ya makelele na papara na hii ndio timu ya makombe. Simba ni kama mvuvi alliebobea, ndowano yake ikimshika samaki, hamvuti kwa papara humwachia akimbie na mshipi mpaka achoke halafu humvuta taratibu na kwa hekima huyo ndani ya ngalawa
ReplyDeleteYupo vizuri Sana
ReplyDelete