September 1, 2021


KIKOSI cha Azam FC kilifunga dirisha la usajili kwa ajili ya msimu wa 2021/22 katika Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la Shirikiho na mashindano mengine ambayo watashiriki.

 Ni usajili wa beki wa kati raia wa Cameroon, Yvan Lionnel Mballa alifunga usajili kwa timu hiyo ambayo imeweka kambi nchini Zambia.

Ni dili la mwaka mmoja kasaini beki huyo akitokea Klabu ya Forest Rangers ya Zambia.

Mballa amefunga zoezi la usajili kwenye dirisha lililofungwa usiku wa Agosti 31.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic