September 28, 2021

SHABIKI wa Simba kutoka Musoma ameweka wazi kuwa kikosi cha Simba kilianza kujiandaa msimu uliopita na walikuwa wanahiaji Ngao ya Jamii ila wakakwama jambo ambalo linawafanya wawekeze nguvu kubwa kwenye mechi za Ligi Kuu Bara na wanahitaji kutwaa mataji miaka 10 hiyo ndiyo heshima kwao.
 Septemba 25, Simba ilinyooshwa kwa bao 1-0 dhidi ya Yanga na kuwafanya wapoteze Ngao ya Jamii.

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic