WAKIWA na basi jipya ambalo wanaliita ndege ya ardhini, Azam FC wamezindua pia tawi jipya na limepewa jina la Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit, Zaka Zakazi.
Habari inasema kwamba ni basi jipya la Azam FC kwa msimu wa 2021/22 limezindua tawi hilo kwa mujibu wa taarifa iliyoandikwa kwenye kibao cha tawi hilo jipya.
Ofisa Habari wa Azam FC, Zakazakazi ameshukuru kwa hilo lililotokea kwa jina lake kuwakilisha tawi la mashabiki wa Azam FC.
Zakazi amesema:"Asanteni sana wanangu wa Mbande kwa heshima hii. Tuko pamoja,".
0 COMMENTS:
Post a Comment