October 7, 2021


NYOTA wa Simba, Henock Inonga alichofanyiwa na beki Gadiel Michael wakati wa mazoezi ya utimamu wa mwili ilikuwa ni kichekesho kwa wote baada ya Gadiel kumrukia na kuchukua kitambaa kilichokuwa mwilini mwake.

 Ilikiwa hivi Kocha Didier Gomes aliwataka wachezaji wake kukimbizana kwa kupokonyana vitambaa ndipo Gadiel alipofanya ujanja huo na kuwaacha wachezaji na kocha wakicheka.

 Hata zamu ya Bernard Morrison, Ibrahim Ajibu pamoja na Jonas Mkude hawa nao walikuwa wana jambo lao pale Uwanja wa Boko.

 

1 COMMENTS:

  1. Nnaamini kabisa Simba wanaandaa kitu special kwa mpira wa Tanzania. Hii timu hii ya vijana hawa
    wengi wao wakiwa na umri Mdogo wakiklick basi watakwenda kufanya mambo makubwa kwenye soka letu.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic