October 8, 2021

LICHA ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuweza kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Benin ilikuwa ni bahati mbaya kwa wachezaji kwa kuwa walipambana kusaka ushindi ila walikwama.

Kuelekea kwenye mchezo wa marudio ameweka wazi kuwa maandalizi yanahitajika ili timu iweze kushinda. Kwa sasa kwenye kundi J, Stars ipo nafasi ya tatu na ina pointi 4 huku Benin wakiwa ni vinara na pointi zao ni 7.

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic