January 5, 2014



Gwiji la soka nchini Ureno mwenye asili ya Msumbiji, Eusebio amefariki dunia akiwa na miaka 71.


Wakati wa uhai wake, Eusebio alifunga mabao 473 katika mechi 440 akiwa na Benfica ya kwao Ureno.

Mwaka 1962 alishinda Kombe la Ulaya na alifunga mabao 41 katika mechi 64 alizoichezea timu ya taifa ya Ureno.

Mwaka 1966  wakati Kombe la Dunia lilipofanyika nchini England, aliibuka mfungaji bora baada ya kutupia bao tisa nyavuni.

MATAJI ALIYOWAHI KUCHUKUA
BENFICA 
Portuguese League
 1960-1961, 1962-1963, 1963-1964, 1964-1965, 1966-1967, 1967-1968, 1968-1969, 1970-1971, 1971-1972, 1972-1973, 1974-1975
Portuguese Cup 1962, 1964, 1969, 1970, 1972 
European Cup 1962
PORTUGAL 
World Cup third place
 1966

INDIVIDUAL 
European Footballer of the Year
 1965
European Footballer of the Year runner-up 1962, 1966 
European Golden Boot 1968, 1973 
European Cup top scorer
 1965, 1966, 1968 
FIFA World Cup Golden Boot
 1966 
Portuguese League top scorer
 1964, 1965, 1966, 1967, 1968, 1970, 1973

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic