Mshambuliaji
wa Yanga, Didier Kavumbagu akiwania mpira na beki Mbuyu Twite wakati wa mazoezi
ya timu hiyo leo kwenye Uwanja wa Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Yanga
inaendelea na mazoezi kwenye uwanja huo kujiandaa na mechi za Ligi Kuu Bara
zilizobaki.
Kikosi
hicho chini ya Mholanzi, Ernie Brandts ndicho kinachopewa nafasi ya kutwaa
ubingwa wa Ligi Kuu Bara, ingawa Azam FC wanaonekana kuwa ‘tatizo’ kwao.
Joshua na
Banda…
Kiiza na
Nsajigwa….
Niyonzima
na Cannavaro…
0 COMMENTS:
Post a Comment