GAZETI MAARUFU LA MICHEZO LA TANZANIA LIMEANZISHA MTU MAALUM
AMBAYE ATAJULIKANA KWA JINA LA MR CHAMPIONI.
KAZI YAKE ITAKUWA NI KUKUTANA NA WASOMAJI MBALIMBALI NA
KUWAPA ZAWADI, LAKINI ATAZUNGUKA MITAANI NA KUWAZAWADIA WALE ATAKAOWAKUTAKA
WAKISOMA GAZTI HILO.
KAZI ZA MR CHAMPIONI ZINAANZA HIVI KARIBUNI. WAKAZI WA DAR
ES SALAAM, WAKAE MKAO WA KULA.
0 COMMENTS:
Post a Comment